Leadership application announcement

TANGAZO LA UCHAGUZI Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) kinatarajia kufanya uchaguzi wa viongozi wa kukiongoza chama kwa miaka miwili ijayo. Kwa tangazo hili, wanachama wote hai wa MAT wanakumbushwa kuhudhuria mkutano mkuu wa chama utakao fanyika sambamba na Kongamano...